JE UNAFAHAMU KUWA KILIMO CHA PAPAI KINALIPA?


KILIMO CHA PAPAI



Wajasiliamali wengi wamekuwa wakijiuliza ni nni wafanye ili kujiongezea kipato,leo nakuletea makala hii inayohusu kilimo cha papai

   KILIMO CHA PAPAI KINALIPA…


Eka moja ya shamba la papai inaweza kuingiza miche1000-1200(elfu  moja hadi elfu na miambili)-zile mbegu fupi.

  Tufanye umepandamiche 1,000. Mti mmoja ukiuhudumia vema unaweza kutoa matunda hadi 120 kwamsimu.

Tufanye umetoa matunda 80, tu.Tunda moja kwa bei ya shamba tufanye umeuza bei ya"kutupwa"ya Tsh. 500/= (lakini papai lililoshiba linauzwa hadi Tsh. 3,000/= sokoni). Chukua 500/= mara 80 unapata 40,000/=(elfu arobaini kwa mti mmoja).



Sasa chukua 40,000/= zidisha mara 1,000 unapata 40,000,000/=(milioni arobaini). Gharama za kulima papai ekari moja haizidi milioni mbili.



Toka kupandwa hadi kuvunwa papain inachukua miezi kumi tu.

Tufanye hivi:


Ukishavuna hii milioni 40 jibane, usiitumie, mwaka unaofuata  nenda kapande tena papai ekari 20! Kama calculater yako haisumbui utapata total yaTsh. Milioni mia nane


(800,000,000/=). Hapo nakuruhusu chukua milioni 100 zitumbue kwaraha zako. Then, milioni 200 wekeza tena shambani, halafu milioni 500 wekabenki.

 

Naishia hapa kuhusu "ku-calculate", malizia mwenyewe uone maajabu ja kilimo


Tuache hayo. Maswali kuhusu:-


  • soko, 

  • hali ya hewa, 

  • udongo, 

  • mbegu na

 mengine iwe home work-Lakini ukilima mapapai ukikosa soko hapa nchini, kuna Comorona Madagascar.

kijana amka.... "acha kuilaumu serikari kwa kutotoa ajira,changamkia fursa kama hizi ili ujikomboe na umasikini  'uwoga wako ndio umsikini wako'




No comments:

Post a Comment