UPIMAJI UDONGO KABLA YA KULIMA



PIMA UDONGO KABLA YA KULIMA
( SOIL TESTING )



  *KIJUE KILIMO CHA KISASA BILA KUBAHATISHA PIMA UDONGO WAKO SASA

Woote tunajua kuwa kila zao hustawi katika aina flani ya udongo. Sio kweli kuwa kila udongo unakubali mazao yoote je vipi utajua?  Pima udongo wako kwa bei nafuu kujua udongo wako una uchachu uchachu /tindikali kiasi gani (soil ph). Kisha fanya haya hapa:-
1
. zalisha zao lenye ph inayolandana na udongo. Au
2
. pandisha ph au shusha ph ili iwe sawa sawa na zao lako.  Utapandisha kwa kuweka dolomite au agricultural liming kiasi maalumu kutokana na ukubwa wa shamba lako. (tutakushauri). Kama ni kushusha utaaply sulfur kiasi maalumu.
Hapa ndipo ambapo kila zao litapata virutubisho vyake kama udongo hauna ph husika utakosa virutubisho hivyo. Mazao yatakuwa chini miaka yote na wanashauri usiweke mbolea 

AINA MBALIMBALI ZA MAZAO NA ph ZAKE
Tomato  5.5-7.5
Onion  6.0-7.0
Watermelon  5.5-6.5
Cabbage  6.0-7.5
Chinese Cabbage  6.0-7.5
Cucumber  5.5-7.5
Rice  5.0-6.5
Sorghum  5.5-7.5
Soyabean  5.5-6.5
Spinach  6.0-7.5
Peanut  5.0-6.0
Bean  6.0-7.5
Grapefruit  6.0-7.5
Garlic  6.0-8.0
Ginger  5.5-7.0
Carrot  6.0-7.5
Beetroot  6.0-7.0
Lemon  5.0-7.5
Strawberry  6.0-7.5
avocado  5.0-6.5
apple  6.0-7.0
Grapevine  5.0-6.0
Mango 5.0-6.0
pineapple  5.5-7.5
Cauliflower  6.0-6.5
Millet  6.5-7.5
Mushroom  5.5-7.0
Pepper  4.5-6.0
Potato  5.5-6.0
Potato-sweet  5.5-7.5
Pumpkin  5.5-7.5
Kwa sasa huduma ya kupima  soil ph pamoja na kupimiwa kiasi cha nitrogen, Phosphorus na Potash (NPK) pamoja nakujua  kiasi gani cha virutubisho kama vimepungua na nini ufanye ili kuweza kurudisha udongo katika hali nzuri. Inapatikana hapahapa nchini kwa gharama nafuu. 






*Unapoamua kuwekeza katika kilimo basi anza na udongo kwanza*

No comments:

Post a Comment