TIBA MBADALA YA JINO LILILOTOBOKA AU KULIWA NA WADUDU

mafingatown.blogspot.com


www.mafingatown.blogspot.com

Unahitaji kuwa na
    


    Shabu
    Karafuu
    Mdaa


     Hakikisha dawa zote ni zaunga na uchanganye kwa ujazo sawa


kama ni jino kutoboka / kutobolewa na mdudu Chukua mchanganyiko huo,tia ndani ya tundu kwa dakika KUMI  kisha sukutua meno yako kwa mchanganyiko wa dawa hiyo .     kama ni KULIWA na WADUDU Chukua dawa hiyo na sukutulia kwa dakika KUMI    Utafanya hivyo kutwa mara mbili kwa siku 14

www.mafingatown.blogspot.com

⇰ dawa zote hizi zinapatikana katika maduka ya dawa za asili yalitopo maeneo yanayotuzunguka

2 comments: